Apprenons le Swahili
Récemment, au Royaume-Uni, six femmes sont simultanément tombées amoureuses du même homme, qui leur avait tenu des propos flatteurs.
----------------------------
Hivi karibuni, mwanamume mmoja alitumia usemi laini kuwabembeleza wanawake sita huko Uingereza, naye akafanikiwa kuwavutia wote kwa wakati uleule.
Commentaires
Enregistrer un commentaire
Priere de laisser votre avis